Msaada wana JF katika kuchagua kozi

BEDUI Jr

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
2,041
2,844
Habari wana jf
Ninataka kufanya maombi ya kujiunga na chuo mwaka huu 2017/2018 kozi gani mzuri nichukue

Results Nilipata point 28 nina physics D, Chemistry D, Biology D, Geo D,kiswa D,Histo D, civs D.
Ushauri wenu wakuu
 
mkuu mbona umri wako umeshaenda miaka 35!!!!? utaitia hasara serikali kama ikikuajiri
 
mkuu mbona umri wako umeshaenda miaka 35!!!!? utaitia hasara serikali kama ikikuajiri
Uwo ni umri wa jf mkuu sina umri huo nina miaka 22 mkuu huku jf wengi wetu hatuna ID sahihi
Umu majipu tupo wengi chifu usibabaike na ID yangu hakuna kilicho sahihi hata kimoja hapo
 
Back
Top Bottom