El nino jr
Member
- Aug 7, 2014
- 66
- 24
Habari za mchana wana jf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,nina diploma ya records management. Nilikuwa naomba nipatiwe msaada wa nafasi ya kazi hata ikiwa ya kutolea tu katika shirika, taasisi, ofisi na hata kampuni yeyote ilee naombenii msaada wenu.