msaada wana jamvi

Izzo G

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
414
62
habari za majukumu wana jamvi kiukweli nina tatizo hapa naombeni msaada wenu. kila nikiwasha laptop yang ina nambia activate window sasa sijui pakuanzia maana kuna muda nilijaribu kuna stage ikanambia enter your product keys na hata hizo keys zenyewe sijui ntazipata wapi ? kwa hyo wadau naombeni mnipe maelezo ya nini cha kufanya kutatua tatzo: window ninayo tumia ni window 7 ultmate
 
nenda torrent kadownload loader za kuactivatia hiyo w7 yako..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom