Msaada wana jamvi nimeibiwa simu.

Pole sana mi natafuta simu aina hii uliyo ibiwa na hizi simu ziliretwa na voda kwaajiri ya usajili

Kama ulikuwa unafanya kazi ya usajili wasiliana na meneja wa eneo lako utaipata ila kama Na wewe ulinunua kwa mtu kuipata itakuchuka muda sana
 
Ilikuwa ya kutumia tu.
 
Mkuu tafuta hela ununue nyingine tu,niliibiwa simu nikaenda polisi nikatoa hela tukaenda tigo nikapewa ile karatasi inayoonyesha mpaka mtu huyo mtu anaeitumia hyo simu,sasa shida ikaanza jinsi ya kwenda kumkamata huyo mtu,nililiwa hela na huyo mpelelezi ikafika 120000,nikaamua kuachana nayo,na hizo karatasi ninazo mpaka leo,
 
namna bora, rahisi na ya haraka ya kuipata simu yako ni kununua nyingine tu
 
Ninayo kama hiyo, inasoma voda tu tena upande wa lain moja,
Nani amewahi kuifulashi simu kama hio na akafanikiwa.
 
Pole ndugu, uliifanyeje mpaka ikasoma Lain zote, ebu nisaidie. Nafikili ni zile za zilizotolewa na vodacom au. Ninayo moja hapa inasoma lain moja
Mengine kuyaweka wazi ni kujitakia matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…