Msaada wamiliki wa Iphone

Msaada wamiliki wa Iphone

chilali

Member
Joined
Feb 25, 2019
Posts
52
Reaction score
22
Habari,

Jamani hivi majuzi nilinunua iphone toka kikuu lakini mpaka sasa nakwama kuisajir 'I cloud Id' iliniweze kudownload baadhi ya app kama WhatsApp na nyingine.

Kila nikijaribu kukwepa mfumo wa malipo nafeli hata bado sijui huo mfumo wa malipo unafanyaje kazi?

Msaada tafadhar 0785499058.
 
Use your visa or master card if you havent registered for the service visit your nearby bank
 
Habari,jamani hivi majuz nilinunua iphone toka kikuu lakini mpaka sasa nakwama kuisajir 'I cloud Id' iliniweze kudownload baadhi ya app kama WhatsApp na nyingine.Kila nikijaribu kukwepa mfumo wa malipo nafeli hata bado sijui huo mfumo wa malipo unafanyaje kazi?Msaada tafadhar 0785499058.
Unashindwa veep
 
Iphone ni jeneza la kifahari, unabunua iphone halafu hwla ya kulipia huduma hauna. Si bora ungenunua tecno tu

Acha zako.! Mie ni mtumiaji wa Iphone kutoka kitambo kileee..! Sijawahi ona changamoto yoyote. Kusema ukweli mi siku zote nitabaki iphone.! Hilo jeneza unalolisema hata sijawahi liona.
 
inabidi usiikubalie pale kwenye mfumo wa malipo kataa.
 
Habari,jamani hivi majuz nilinunua iphone toka kikuu lakini mpaka sasa nakwama kuisajir 'I cloud Id' iliniweze kudownload baadhi ya app kama WhatsApp na nyingine.Kila nikijaribu kukwepa mfumo wa malipo nafeli hata bado sijui huo mfumo wa malipo unafanyaje kazi?Msaada tafadhar 0785499058.
Ruka step ya kuweka card. Sio lazima uweke payment method

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda huyo kanunua iPhone 4 [emoji23] A1332 hesabu maumivu
 
Habari,

Jamani hivi majuzi nilinunua iphone toka kikuu lakini mpaka sasa nakwama kuisajir 'I cloud Id' iliniweze kudownload baadhi ya app kama WhatsApp na nyingine.

Kila nikijaribu kukwepa mfumo wa malipo nafeli hata bado sijui huo mfumo wa malipo unafanyaje kazi?

Msaada tafadhar 0785499058.

Ukifika sehemu unaambiwa kuunganisha payment details skip maana kuna option ya kutoingiza hiyo payment details, sisi bado hatupo kwenye mfumo wa Apple Pay
 
Back
Top Bottom