Msaada: Walioshindwa kupata D mbili wanaenda wapi????

Mchumi90

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,157
Reaction score
1,447
Msaada ndugu zangu, kuna mdogo wangu kapata div 3 ya 15 sasa kwa qualification za sasa kakosa nafasi ya kufanya Degree. Mshaurini njia ya kufanya maana naona NACTE washafunga usaili.
 
Kasoma masomo gani advance? Yeye anapenda kusomea nini?
 
Hivi wakuu inawezekana ku risit mtihani wa kidato cha sita?? Naombeni maelezo ya kina
 
Kuna vya bure bado skuiz?
 
Msaada ndugu zangu, kuna mdogo wangu kapata div 3 ya 15 sasa kwa qualification za sasa kakosa nafasi ya kufanya Degree. Mshaurini njia ya kufanya maana naona Nacte washafunga usaili.
NACTE wamefungua tena usaili mwisho tar 13 /08
 
Nenda china unarudi engineer wa kujiajir kabisa
 
Msaada ndugu zangu, kuna mdogo wangu kapata div 3 ya 15 sasa kwa qualification za sasa kakosa nafasi ya kufanya Degree. Mshaurini njia ya kufanya maana naona Nacte washafunga usaili.

Kwa Babu yao au kwa KAKA YAKE Dar aka reseat mthihani
 
mkuu kwa msaada zaid heb jarb kuntext wasap 0659617536 au email mashasimon3@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…