Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
sema kwa matumizi ya kawaida inafaauzuri wake
-ram ya 1gb
-ina 4g
-processor zake ni cortex a53 64bit
-8gb storage
vilivyobakia sio vizuri vitu kama camera, battery, soc yake ya mediatek, etc
sema kwa matumizi ya kawaida inafaauzuri wake
-ram ya 1gb
-ina 4g
-processor zake ni cortex a53 64bit
-8gb storage
vilivyobakia sio vizuri vitu kama camera, battery, soc yake ya mediatek, etc
SEMA SIJAONA MTU AKIELEZEA SIMU MPYA YA GOOGLE INAITWA ,Google Pixel Phone and Pixel XL SIJAONA KIBISA VIPI MKUU Chief-Mkwawa UNAWEZA KUTUPA MAUJANJA KUHUSU HII SIMU MKUU
Mkuu Nokia huku chaliiii
ndo nini mkuu? si mazungumzo ya watu tu hayo?Mkuu Nokia huku chaliiii
Sijui unalolote https://www.linkedin.com/pulse/nokia-ceo-ended-his-speech-saying-we-didnt-do-anything-rahul-gupta
hayo mapenzi ulio nayo na NOKIA hahahaha noma unaona kabisa kampuni inayumba yumba boss anasema mpaka analiando nini mkuu? si mazungumzo ya watu tu hayo?
hayo mapenzi ulio nayo na NOKIA hahahaha noma unaona kabisa kampuni inayumba yumba boss anasema mpaka analia
Nashukuru mkuu nilita ufunguke hivi sasamkuu tumia akili ukisoma tu hapo unaelewa
-jamaa kawa approach nokia 1998 na wakamtosa akasema miaka 4 baadae waka decline (inamaana 2002) je ni kweli mauzo ya Nokia yalishuka 2002?
-kwamba 1998-2002 palm na os nyengine za smartphone zilikuwa na share kubwa kumsumbua Nokia (symbian) ni kweli? huu ni uongo wa kupitiliza sababu kipindi hiko hata Nokia hana smartphone, smartphone ya kwanza ya Nokia ilitoka mwaka 2002 inaitwa Nokia 7650 hebu google hata kidogo utaona,
-katika uhai wake wote mpaka Elop anasema symbian ni burning platform hakujawahi kutokea os yenye marketshare kubwa kushinda symbian.
by the way Nokia kama kampuni inayumbaje? hata siku moja ushawahi kuangalia mapato yao? 23.2b euro ni mapato ya 2015 na wapo profitable, pia Nokia ameinunua alcatel lucent ambayo mapato yake ni 14.3b euro hivyo jumla ni kama 27.5b euro ambayo ni sawa na dola za kimarekani kama bilioni 30. sio hela nyingi kushindana na kampuni kama apple na samsung lakini ni hela nyingi sana compare na kampuni kama
HTC- 3.6B
xiaomi- 20B
blackberry 2.1B
na hata hayo makampuni makubwa kama lg, sony, etc mapato yao ya technology zinazohusiana na simu hayafikii mapato ya Nokia.
hata mm nimeliwaza hiliHIYO ITAKUSUMBUA TUMIA HIVYO HIVYO USIJARIBU
Hizo siyo! ni mara chache sana nimefanikwa kwenye hizo ni pasua kichwa kuna moja ilinipotezea sana muda ya mteja wangu lkn tunapo toa ushauri tunajua kasheshe zakehata mm nimeliwaza hili
bora nikomae nayo isije nifia
nimegairi na mambo yenyewe aiseeNashauri - Usisahau kufanya backup kabla hujajaribu chochote anonymousafrica