Msaada: Wale wataalamu wa android

amsr

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
259
Reaction score
303
nina galaxy s3 korean version(SHV-E210K) ila hai run ussd code like tigo pesa na kujinga xtreem pia haina switch ya kuwasha e(2g) au 3g(h),,iko na android ya (4.0.4).....msaada tafadhali,natanguliza shukran
 
kwanza inaonesha hiyo simu sio original yaani ni clone/image/copy. ila pia kuna baadhi ya simu original ambazo haziRun ussd code lakini sio kwa samsung original.
kuna baadhi ya simu haziRun kabisa ussd na zingine zinaRun lakini zinaleta error kila mara na zingine zinaRun ussd code lakini zinakuletea lugha ambayo haieleweki. So hiyo ni ishu ya simu husika na wala sio settings
 
Mkuu hapo umesema koz clone nyingi ndio zina hizo features alizotaja ila kwa samsung original sio rahisi kwa kweli
 
Sio simu ya kichina ni version ya s3 yenye lte kwa ajili ya Korea. Mitandao ya Kule ni tofauti na ya kwetu that's why. Kwanza iupdate Hadi 4.3 kwanza then uangalie kama tatizo litakuwa solved
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…