Msaada wale wataalam wa android..

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
3,440
Reaction score
2,673
Wakuu nimefanikiwa kuroot simu yangu tecno h6 kwa sasa naweza kubadili font xa maandishi niipendayo ila shida yangu nataka kubadili pia muonekano wa pale juu kwenye battery saa na bars za network pawe na style ingine nifanyeje
 
INGIA
>>>>>>>>>>>>>>hapa
 
Wakuu nimefanikiwa kuroot simu yangu tecno h6 kwa sasa naweza kubadili font xa maandishi niipendayo ila shida yangu nataka kubadili pia muonekano wa pale juu kwenye battery saa na bars za network pawe na style ingine nifanyeje

kwanza download xposed framework kisha install busybox kutoka playstore na kisha download gravity box au xstana apk .ukimalza njoo tuendelee.
 
Wakuu nimefanikiwa kuroot simu yangu tecno h6 kwa sasa naweza kubadili font xa maandishi niipendayo ila shida yangu nataka kubadili pia muonekano wa pale juu kwenye battery saa na bars za network pawe na style ingine nifanyeje

Uemebadilishaje font
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…