Msaada Wakuu

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,321
Reaction score
103,591
Habari zenu wakuu, naomba msaada kwenye hili swala maana nimekwama.
Nataka kuwa nikituma au nikitumiwa email basi blind copy iende kwa mtu fulani. Yaani mfano wewe ukinitumia email basi iende kwa mtu mwingine pia kama BCC, na nikijibu pia iende kwa huyo mtu bila mimi kuweka email yake. Je nifanyeje ili niweze fanikisha hii.
@C6 MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Mwaya Mzizimkavu hawezi mambo hayo, niite mimi nikusaidie
 
hujasema unatumia Email ipi Account? hebu bonyeza hapa. How to Forward an Email to Someone in Hotmail: 6 Steps - wikiHow
 
Ok, kama umetumiwa email ya aina hiyo, click on repply to all then itaenda kwa addresses zote zilizo husishwa, let me know kama hicho ndicho ulichotaka kujua ama hili walifahamu na wataka zaidi ya hili,
 
kaka haiwezekani uwe huforward halafu email yako iende kwa mtu mwengine ila unaweza kuforward automatic ikiingIa inaenda kwa email nyengine na unaset rules, mfano kila email yenye neno mpenzi iforward iende kwenye email hii automatic. hizi ni features za enterprises na unapozungumzia enterprise unamaanisha microsoft. tumia outlook/hotmail na tutorial hii hapa

Automatically forward my messages to another e-mail account - Outlook
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…