STREET SMART JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 848 Reaction score 692 Jul 9, 2010 #1 Habari nna shida sana ya kuwasiliana na mtu ambae ameshawahi kulima ufuta (sesame). Au kama kuna thread iliwahi kuandikwa basi nisaidieni niipate, ni muhimu sana. Kuna ka project natarajia kukaanza soon, so nahitaji msaada wa mawazo pls.
Habari nna shida sana ya kuwasiliana na mtu ambae ameshawahi kulima ufuta (sesame). Au kama kuna thread iliwahi kuandikwa basi nisaidieni niipate, ni muhimu sana. Kuna ka project natarajia kukaanza soon, so nahitaji msaada wa mawazo pls.