Namanisha nawezaje kuzuia mtu.mwingine asihack simu yangu, pia kuna njia nyingine naweza kufuta sms, zote za zaman mtu akihack asizipateJaribu kuandika uzi kwa mtiririko mzuri wa mawazo na bila kukosea herufi, maana Uzi wako haueleweki na ndio maan wajuvi wa mambo wanashindwa kukusaidia.