Msaada Wakuu

Msaada Wakuu

Lorenzo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
530
Reaction score
644
Habarini Wadau, Kuna manzi mmoja nilimtokea kama mwez umepita hv akasema ngoja kwanza tufahamiane vizuri then ndo atanijibu sasa leo hii naona amenijibu kwa kunikubalia, nilikua nauliza ni baada ya muda gani kupita ni sahihi kwa mimi kuomba mechi
 
Kumbe huu utaratibu wa kutongoza na kusubiria majibu bado upo? Unaulizia kabisa jibu langu vipi?
 
Mualike kwako aje akutembelee na umuandalie vitu vizuri vizuri baada ya hapo onyesha vitendo vya hisia,baada ya muda utakuwa umefanikisha zoezi lako.
 
Baada ya ndoa

2019 hatua 1 yenye mafanikio zaidi
 
Kumbe huu utaratibu wa kutongoza na kusubiria majibu bado upo? Unaulizia kabisa jibu langu vipi?
Kwani ww ulikuwa hujui au huwa una wavuta tu wanakufuata

2019 hatua 1 yenye mafanikio zaidi
 
Kwani ww ulikuwa hujui au huwa una wavuta tu wanakufuata

2019 hatua 1 yenye mafanikio zaidi
Huu naona kama utaratibu wa kizamani sana,siku hizi unatengeneza tu mazingira mwisho wa siku mtoto ananasa
 
Back
Top Bottom