Ndugu habari za mwisho wa mwaka.
Nimetumia doc(picha) kwenye whatsap nikmthibitishia aliyetuma kuwa nimezipata,lakini nilikuwa bize na majukumu kwa kipindi hicho.Leo nimejaribu kuzifungua hazifunguki nahisi alizifuta baada ya kumwambia nimezipata.Nimemuuliza kasema faili hanalo tena,naomba msaada kama kuna jinsi ya kubackup.Naziona kunako whatsap lakini hazifungui.