Msaada Wakuu :

Msaada Wakuu :

Karl Max

Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
6
Reaction score
4
Habar za humu wanajf ,
Mimi ni kijana nilimalza form 4 mwaka 2012 na kupata 4 ya 28 ,nimesoma MASOMO YAARTS .Matokeo hayo yaliniumiza sana na kunikatisha tamaa kiukweli.Sasa baadae 2014 nkaenda kusoma special course ya ualimu wa private nimemaliza mwaka jana .Sasa naenda kuaply kwa ajili ya kuendelea mbele wananiambia hyo koz haijasajiliwa na nacte.
Sasa msaada ninouomba ni je naweza pata chuo chochote niwe nasoma hata kuanza certificate ila niwe najisomea private maana mi ndo natafta ada ..

MSAADA TAFADHALI..
cce1db706392d56cee47f318e77167d9.jpg
 
Duh pole mno mkuu . hayo matokeo ni bomu kabisa kwa enzi hizi za ndalichako. Hata ukisoma course yeyote bado ajira itakuletea shida.
Ushauri.
Reseat utengeneze cheti lasivyo unapotezea ada yako bure
 
Back
Top Bottom