Msaada wakuu

Msaada wakuu

tetestaly

Senior Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
126
Reaction score
59
Nimechakuliwa kusoma chuo cha DIT sina mahali pa kukaa VP naweza pata chumba master maeneo ya buguruni,????
 
Nimechakuliwa kusoma chuo cha DIT sina mahali pa kukaa VP naweza pata chumba master maeneo ya buguruni,????
Dar vyumba havikosekani. Ni wallet yako tu Mkuu.

Ila nikushauri kitu mdg wangu. Tafuta chumba maeneo ya Kigamboni,uwe unavuka. Kuna sababu nazokuambia
1. Utaepuka foleni kubwa sana kutoka Buguruni Posta
2. Vyumba maeneo ya Kigamboni ni reasonable kuliko huko Buguruni.
3. Buguruni utawaepuka vibaka waliokomaa na jiji na Pia nasikia jamaa mtoa macho aka Scorpion anakaa maeneo hayo.

Buguruni pia ni kuzuri. Chagua mwenyewe. Kila la kheri. Kapige msuli.
 
Kama ni KE njoo ukae hapa nyumbani,ila utawajibika kufanya usafi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom