Niliweka pswd nikawa nimezisahau sasa katika kuingiza mara nyingi ndo nikaharibu kabisa ikawa inataka niingize email yangu ya gmail sasa tatizo nilikuwa nimefunga connection za net so email haifunguki.... Wakuu naomba msaada wenu ila kuna mtu kaniambia nikaiflash imekaaje hii?