Second Fiddle
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 469
- 122
Nilitumia mtu kununua shamba la ekar 30, akilin mwangu nilifikiri nimepata shamba lenye urefu wa meta 1000 na upana wa meta 300 kwa kipimo cha ekar moja ni meta 100 kwa meta 100! Lakn shamba ninalooneshwa ni urefu meta 700 na upana meta 210 kwamba kipimo cha ekar moja ni meta 70 kwa meta 70!? Je ni kweli ekar moja ni 70m¤70m na sio 100m¤100m? Msaada tafadhali!
Ni sahihi kabisa bila chenga....700*210=147,000sq meter ambayo ukigawanya kwa 30 unapata sq.m 4900 ambayo ni ekari 1Nilitumia mtu kununua shamba la ekar 30, akilin mwangu nilifikiri nimepata shamba lenye urefu wa meta 1000 na upana wa meta 300 kwa kipimo cha ekar moja ni meta 100 kwa meta 100! Lakn shamba ninalooneshwa ni urefu meta 700 na upana meta 210 kwamba kipimo cha ekar moja ni meta 70 kwa meta 70!? Je ni kweli ekar moja ni 70m¤70m na sio 100m¤100m? Msaada tafadhali!
Yupo sawa mkuu. Ekari(Acre) 1 ni 70sqM.
Suala la hekta na eka ni mambo ya vipo tu(yaani Imperial na Metric) Acre 1=0.404685642 hector.
Ngoja nikaangalie kwenye daftari langu kwa nyuma.
Nitarudi mkui
Soma hapo kwenye Vipimo vya Metriki. Kimsingi,70 kwa 70 ni hekta. Ekari ni 70 kwa 35.
Nilitumia mtu kununua shamba la ekar 30, akilin mwangu nilifikiri nimepata shamba lenye urefu wa meta 1000 na upana wa meta 300 kwa kipimo cha ekar moja ni meta 100 kwa meta 100! Lakn shamba ninalooneshwa ni urefu meta 700 na upana meta 210 kwamba kipimo cha ekar moja ni meta 70 kwa meta 70!? Je ni kweli ekar moja ni 70m¤70m na sio 100m¤100m? Msaada tafadhali!
Second Fiddle, ekari (eka) kwa vipimo vya metriki ni 4,046meta mraba. Yani 63.61 kwa 63.61 ukitaka ekari iliyo mraba.
Hiyo 70 kwa 70 (4,900meta mraba) sijui hata ilipotoka! Labda kurahisisha mahesabu au ilikua ni kipimo cha miguu 70 kwa 70 (miguu kawaida ni pungufu kidogo ya meta).
Hekta ni meta mraba 10,000 yaani meta 100 kwa 100 kwa hekta iliyo mraba. Hekta ni kubwa karibu mara 2 na nusu ya ekari (kwa usahihi ni mara 2.47).
Nilitumia mtu kununua shamba la ekar 30, akilin mwangu nilifikiri nimepata shamba lenye urefu wa meta 1000 na upana wa meta 300 kwa kipimo cha ekar moja ni meta 100 kwa meta 100! Lakn shamba ninalooneshwa ni urefu meta 700 na upana meta 210 kwamba kipimo cha ekar moja ni meta 70 kwa meta 70!? Je ni kweli ekar moja ni 70m¤70m na sio 100m¤100m? Msaada tafadhali!
Ekari si 70sqm. Ni 4,046sqm.
Nilikuwa nikilitafuta hili kumbukumbu ni kuwa shamba ni Ekari 70 kwa 35.Soma hapo kwenye Vipimo vya Metriki. Kimsingi,70 kwa 70 ni hekta. Ekari ni 70 kwa 35.