Msaada wakuu, tamaa imeniponza

walau kuna umenipa matumaini
 
Pole kaka mkeo ameshakupiga kipapai..... Yaani jogoo anawikia kwa mkeo tu, hiyo dawa imezagaa mjini hapa wanawake wengi wanawafanyia wapenzi wao hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kama ni kweli basi watatuua. Sasa wakifa inakuaje?
 
Usiwe na wasiwasi kaka dawa za malaria zina negative impact kwenye damu na zina athiri pia production ya testosterone homoni. Hivyo dawa hiyo ikiisha nguvu mwilini utakuwa poa wala usiwe na wasiwasi kaka.
at least wewe nimekuelewa
 
kuna watu mnaroho mbaya.
 
Hatua ya kwanza kohoa kwa nguvu mara tano halafu muangalie cha uroho anatikisika?ukiona flesh basi ni ugonjwa tu ukiona kimya basi ni tego hilo ila izi noti feya kwakitendo ulichokuwa unataka kukifanya hata shetani hapendi ila MUNGU ANAKUONA
 
Duh..!
Mimi machine inasimamaga hata kama naumwa nimelazwa wodini network huwa full.!
 
Shemeji yako ametegwa hiyo na dawa imesha kunasa wewe , ndio basi tena
 
Brother stress hizo na mind set yako haipo vizuri pamoja na malaria pia. Fanyia kazi vyote
 
Unataka msaada wa pesa au tukunyanyulie winchi yako? Au ni dawa za malaria unataka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…