Msaada wakuu nashindwa kulog in playstore

Msaada wakuu nashindwa kulog in playstore

Hv ni playstore au google wakati unawasha simu for the first time?
au kwakuwa uliignore mwanzo nenda setting sign in email katika account, playstore itakauwa imeshakaa moja kwa moja
Hata hvo hapo juu wamekwambia ni network error so just wait for it and try many times
I have tried more than 20 times aisee
 
nenda kwenye settings then application then clear data kwenye google play store,google play service na google service framework. then zima simu uwashe tena. na kwa simu za line mbili ni nzuri zaidi ukitumia line namba moja ndo upande yenye uwezo mkubwa wa internet. kwa kuongezea zaidi hapo tambua play store bila 3G na kuendelea ni changamoto kupata service. hope itasaidia
 
I agree with jamaa hapo, naangalia na date and time ya simu yako je vimekaa sawa? vikiwa fresh processed and other networks such wifi.
Vile vile clean cache za simu
 
Nachoka kabisa sasa. Kila njia mnayonielekeza inagoma tu. Au ndio ugonjwa wa Itel?
 
Back
Top Bottom