Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Poa mkuu nimekuwa na hofu kwa hilo kwa kuwa kiuchumi sikuwa vizurikapige msuli, kuna watu hawajawai kuona kitu inaitwa tuishen ila wamechana vizuri tu. jipange kisha weka nadhiri kuwa utafanikisha.
Asante kwa ushauri brooMdogo wangu jitahidi ukusanye vitabu vya kutosha. Jibane ununue vitabu vingi halafu advance ili ufaulu vizuri capture topic mhimu mapema iwezekanavyo then anza kucheza na format ya mtihani utatusua tu.
Hakikisha unapiga organic chemistry yote na uielewe mapema. Tafuta kitabu kimoja kinaitwa Raymond chang seventh edition (sina hakika na hili kuhusu edition) kilinisaidia sana kwenye inorganic chemistry.
Advance topic ni ndefu masomo yote juhudi zako ndo kufaulu kwako.
Nimefanya nimeona zinajitahidi kiasi chake si unajua serikaliFanya survey ya shule ulizojaza PCB zikoje kiujumla then utapata jibu..
Asantedownload hii app uanze kusoma www.thlapp.co.tz
Link umekosea kidogo Www.thlappstore.co.tz[/URL]download hii app uanze kusoma www.thlapp.co.tz
Daah mkuu Asante kwa ushauri japo unatishaKama unajiweza kata baadhi ya topics hasa physics coz topic zake ni nyingi sana,kama huwezi gharama za mtaani kwa sasa, kusanya hela piga hata vibarua shuleni wanapitaga walimu kufundisha kwa bei rafiki kidogo.Kumaliza topics mapema itakusaidia sana ufanye maswali mengi mapema.Ukishindwa kabisa usijali unaweza kupata shule ambayo wanafundishafundisha ila nyingi wanaashum wote wamepiga tuition.All the best
Nimedownload ndo naanza kuifunguamkuu umepakua hiyo app
Kiukweli PCB ni moja ya combination nzuri sana! its direct to professionalism! Ukitaka kupata kitu ambacho hujawahi kupata, itakubidi ufanye kitu ambacho hujawahi kufanya!Wakuu msaada naombeni ushauri lengo langu kusoma Mchepuo wa pcb kwa sasa nasubiria post nijiunge na kidato cha tano ila kuna feedback nimekuwa nikipewa ya kuwa haujasoma tuition hasa kwa shule za goverment inakucost kwa kuwa hamna walimu sasa ninaomba msaada wa ushauri juu ya usomaji wa Mchepuo hili niweze faulu vizuri