Msaada wakuu, kumpata CAMARADERIE urgently

Bumpkin Billionare

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
1,332
Reaction score
621
Samahani wakuu, naomba msaada wenu tafadhali. Nina tatizo ambalo nahisi mwana JF CAMARADERIE angeweza kunisaidia. NimemPM jana asubuhi lakini hakuna response nina mashaka hajaingia JF since then.

Kama kuna mtu ana mawasiliano ya simu yake tafadhali anisaidie kumwambia ninamtafuta kwa haraka. In short hatufahamiani ninahitaji tu msaada wake. Nitakuwa online mchana wote kumsikilizia kama atapatikana.

Thanks in advance!
 
Last edited by a moderator:
Ungetudadavulia angalau kinaga ubaga nini kinakusibu, unaweza pata msaada zaidi kuliko kumuaminia tu CAMARADERIE.
 
Ungetudadavulia angalau kinaga ubaga nini kinakusibu, unaweza pata msaada zaidi kuliko kumuaminia tu CAMARADERIE.

We baba we loh! Mwenzio ninaumwa ndani ya nguo kwenye sehemu ile ambayo hatuoneshabi hadharani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…