Msaada wakuu kuhusu wimbo huu wa lady jay dee

Msaada wakuu kuhusu wimbo huu wa lady jay dee

Kuna ule waliimbaga nadhani yupo na Mr blue
"usikatae wakikwita labda kesho yatakukuta
Dunia yabadilika hujui lini wataanguka"

Ulikuwaga unahamasisha kuchangia watu wasiojiweza
 
Jamani kuna nyimbo aliimba lady jay Dee ina mahathi ya kidini najaribu kuikumbuka nashindwa. Aliimba na mtu kama sio msouth afrika mganda. Msaada wakuu anaeukumbuka
Nadhani huo wimbo unaitwa supu
 
Kuna ule waliimbaga nadhani yupo na Mr blue
"usikatae wakikwita labda kesho yatakukuta
Dunia yabadilika hujui lini wataanguka"

Ulikuwaga unahamasisha kuchangia watu wasiojiweza
Dhaaaa!!! Aiseee!! Mkuu unaturudisha
Tuliko toka aiseee song tam sana hili
 
Back
Top Bottom