msaada wakuu kuhusu memoru card

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
3,546
2,618
wakuu nimenunua memory card 16gb nimeweka vitu vichache vya kurushiwa imebaki 14gb tatizo sasa nikidownload video na vitabu au kitu kingine kikifinish hakioneshi memory yenyewe mpya kabisa nimenunua ipo kwrnye kasha lake kkoo wale wanaouza nje ya maduka inaonyesha kuna space kubwa lakini nikiweka kitu haiplay
 
Itakuwa ndo hii nimekuuzia
tapatalk_1526966739777.jpeg
 
hamna siyo hiyo me wameniuzia wale wafanyabiashara wa nje maduka ya simu kkoo alinipa na kasha ipo pamoja na adapter imeandikwa 16gb
Mkuu inawezekana memory ya 2gb kuonyesha kama ya 16gb kwenye simu ama pc lakini kiuhalisia ni 2gb na haiwezi ingia vitu vya zaidi ya 2gb.
 
Mkuu inawezekana memory ya 2gb kuonyesha kama ya 16gb kwenye simu ama pc lakini kiuhalisia ni 2gb na haiwezi ingia vitu vya zaidi ya 2gb.
nashukuru chief dah hawa majamaa kkoo wataalamu kwa kuiba dah hvi maduka mazuri ya memory card tutayapata wapi kkoo
 
nashukuru chief dah hawa majamaa kkoo wataalamu kwa kuiba dah hvi maduka mazuri ya memory card tutayapata wapi kkoo
Tafuta maduka standard ya camera ambayo ni makubwa mara nyingi unapata memory card brand nzuri kama sandisk kuanzia class 10.
 
Fake baba kwanini ununulie kwa hao jamaa wa nje na usinunue dukani? Tatizo wabongo tunapenda sana mteremko
 
Mkuu achana na watu wanaokwambia ni fake.... Acha kufikiria sana negative.... Inawezekana hiyo memory imeingi virus..... Cha kufanya hamisha vitu vyako..... Then format hiyo memory card..... Halafu weka tena vitu vyako.... Kisha uje ulete matokeo. Asante.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom