msaada wakuu kuhusu memoru card

Mkuu achana na watu wanaokwambia ni fake.... Acha kufikiria sana negative.... Inawezekana hiyo memory imeingi virus..... Cha kufanya hamisha vitu vyako..... Then format hiyo memory card..... Halafu weka tena vitu vyako.... Kisha uje ulete matokeo. Asante.
nimejaribu kufanya hivyo imekataa
 
wakuu nimenunua memory card 16gb nimeweka vitu vichache vya kurushiwa imebaki 14gb tatizo sasa nikidownload video na vitabu au kitu kingine kikifinish hakioneshi memory yenyewe mpya kabisa nimenunua ipo kwrnye kasha lake kkoo wale wanaouza nje ya maduka inaonyesha kuna space kubwa lakini nikiweka kitu haiplay
UMEPIGWA
 
MKUU UMEPIGWA KARIKOO UTAUZIWA GB64 kwa 10k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom