Msaada wakufahamu aina za vioo vya TV

Kama UHD , QLED 60 R ,QLED 8OT. QLED 90R NK. CRYSTAL UHD. LG NANOCELL .4K UHD .4K .8K NK navingine ambavyo sijavitajaa
Msaada wako CHIEF MKWAWA
Aina za vioo
  • lcd
  • led
  • plasma
  • oled
  • Qled
  • mini led
  • micro led

Resolution
  • hd/720/1280x720
  • Full HD 1080p/1920x1080
  • 4k ndio UHD ni 3840x2160
  • 8k ni 7680x4320

Marketing term ni hizo nano cell, crystal clear, Amoled, igzo etc.

TUANZE NA RESOLUTION
Ili uelewe vizuri resolution kwanza ufahamu pixel, mpaka kioo kinaonesha kuna vidoti vidogo vidogo kwenye kioo vinaitwa pixel, mfano wa display yenye pixel chache.

51uCGLRwcUL._AC_SY580_.jpg

Hiyo display Sababu ina pixel chache unaziona kwa Macho kabisa na picha pia haionekani vizuri.

Kwa TV sasa kunakuwa na mamilioni ya pixel ndogo ndogo. Mfano
-tulisema hd ni 1280x720 ina maana kwa upana kuanzia mwanzo mpaka mwisho kuna pixel hizo 1280 na kwa urefu kuna pixel 720 ukizizidisha ina maana kuna pixel kama 921,000
-kwa full HD 1920x1080 ni pixel milioni 2
-4k ni pixel milioni 8

Display inakuwa nzuri ikiwa pixel ni nyingi mpaka huzioni kwa Macho, mfano kwenye TV zetu majumbani jinsi TV ilivyo karibu ndio jinsi utahitaji resolution kubwa na pixel nyingi, kama unakaa na TV mbali hata HD ya kawaida si mbaya.

Kwenye cinema unakuta ni HD ya kawaida na display kubwa sana lakini Sababu unakaa mbali na display unaona vizuri.

Pia kila display inavyokua kubwa ndio Utahitaji resolution kubwa, mfano TV ya 32 inch zinakuja na 720p hio HD za inch 40 mpaka 43 nyingi ni full HD ama 4k, zile TV kubwa za inch 65 kuendelea nyingi ni 4k hadi 8k.

AINA ZA VIOO
Kioo common kinachotumika kwenye TV ni Led hii kama ilivyo lcd kioo chake Hakina uwezo wa kutoa mwanga hivyo TV huwekwa Taa kwa nyuma ili ioneshe,

Oled vioo vyake vinakuwa na mwanga vyenyewe hivyo kila pixel inaweza kujiwasha yenyewe, hii husaidia kuonesha rangi nyeusi kuwa tii.

Mfano wa oled na lcd kwenye rangi za giza. Angalia hii video

Sema TV za Oled ndio zile zinazouzwa mamilioni ya Hela.

Qled yenyewe ni kati ya led na oled, pixel hazijiwashi zenyewe ila mwanga wake si wa Taa za kawaida, mwanga wake Una behave kama oled.

Plasma tech ya zamani inakula umeme kama pasi, hasa kama unanunua tv used Hakikisha unaikimbia unapoiona.

Mini led na micro led ni tech zinazo kuja, zimeanza kutumika vifaa vichache, concept yake ni kama oled ila pixel zake ni bora zaidi.

MARKETING NAMES
Pia kuna marketing name za vioo, mfano kama TV inaitwa Nano cell inamaanisha TV zenye response nzuri kama monitor zinafaa kuchezea games na mambo mengine in real time.

Crystal UHD ni mbwembwe tu.
 
Asante sana chief je? Hii 60R au 60T au 90R zinamaana gani mfano hiyo Q60T maana yake nini chief
IMG-20210505-WA0023.jpg
 
Vipi HDR ?
Hdr inafanya nyeupe iwe pee na nyeusi iwe tii, angalia mfano wa picha ya mawingu aliopost jamaa hapo juu inaelezea kila kitu Kuhusu Hdr, ni mfano mzuri namna mawingu yanavyokuwa na kiza na maeneo mengine kuwa na mwanga.

Siku hizi kuna HDR10 ambayo imezidi kuboreshwa na kufanya rangi ziwe zaidi ya bilioni,
 
Chief-Mkwawa
Kwanza Ahsante kwa darasa lako.Mimi nina sehem ya biashara lkn nataka kuweka TV kuanzia 65" kwa ajili ya kuangalia mpira km kiburudisho na kivutio pia.Nisingependa niumie sana kipesa ila nataka pia wateja wangu waweze kurud kwa kushawishiwa na muonekano(resolution) wa TV itakayokuepo.
Kwa ushauri wako,je unadhan TV ya specification zp itafaa.
 
Kioo cha kawaida LED, Resolution kwa 65' ni 4k hapo, sema kwa TV za Kibongo bongo hakuna ya 4k, hivyo hata ikiwa Full HD si mbaya,

Ukiweka TV mbali kidogo na wateja itakua Poa zaidi.

Brand Angalia wachina waliochangamka, TCL ama Hisense hivi, kama Una plan ya kutumia internet TCL ni nzuri zaidi Sababu ya Android tv, unaweza ukatumia hadi dstv now.

Bei around 2m kwa TV ya hivi, ukitafuta zaidi waweza pata rahisi kidogo.
 
Back
Top Bottom