Msaada wakubwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wakubwa!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mapujds, Aug 10, 2011.

 1. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wana jamii niliomba kazi kwa kupitia jukwaa hili kwa njia ya email,sasa jamaa wwameniambia nitume portfolio of work kulingana na nilichokuwa nimeomba.tatizo ni kwamba sielewi hiyo fortfolio of work ni nini na natakiwa kujibu au kutuma nini.naombeni msaada wenu wakubwa.
   
 2. d

  damashizo Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 13
  portifolio of work is the collection of your classroom academic tasks, such as your tests, assingments, and all other works which you were doing during your study. Portifolio nomally can be a file being equiped with such materials. thnks
   
 3. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Asante mkubwa,so inamaana jamaa wanataka niwapelekee hivyo vitu?
   
Loading...