msaada wako unahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wako unahitajika

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mchakachuaji192, Mar 14, 2011.

 1. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Wana JF habarini za majukum? Mie mwenzenu niko njia panda nahitaji msaada wenu wa mawazo nataka kununua gari je kuagiza kati ya Dubai na Japan wapi kuna unafuu kwa maana ya kupata gari nzuri na unafuu wa bei pia, kama kuna mtu anafaham link za kuziamini kwa wauzaji wa magari Dubai naomba mnisaidie.

  Shukrani ndugu zangu
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  tradecarview wana range kubwa sababu wauzaji wengi wanawakilishwa pale. plus wana system nzuri na safe kabisa. google them
   
Loading...