Msaada wako unahitajika hapa

kweli hii ni JF sikujua kama website inapaswa kuwa na static IP daaaaaaa kumbe ni mhimu kivile,Asante kwa ushauri wako je siwe kupata utatuzi wa tatizo hili kwanza wakati nafanya process tha kulipia static IP....

I.P za website zote ziko static, ingekua dynamic site ingekua haipatikani kila inapobadilika. Labda anamaanisha private I.P lakini hiyo siyo lazima.
 
I.P za website zote ziko static, ingekua dynamic site ingekua haipatikani kila inapobadilika. Labda anamaanisha private I.P lakini hiyo siyo lazima.
Daah Hapa ni darasa na kuchanganyikiwa kupo pia...Na subilia msaada wenu wana JF
 
Ok, nimegundiua tatizo. Unatumia Yahoo Hosting ambayo iko blocked China. The only real solution kama unataka iwe inaonekana China ni kuihamishia hosting service nyingine.
 
Ok, nimegundiua tatizo. Unatumia Yahoo Hosting ambayo iko blocked China. The only real solution kama unataka iwe inaonekana China ni kuihamishia hosting service nyingine.
Ni kweli nime-host yahoo lakini mbona nimehost website nne mbili zinaonekana na mbili hazionekani..kuna link nimepata ambayo unaweza kuitumia kuangalia kama website yako inaoneka china na baadhi ya sehemu kama ujerumani canada sivibaya nikiiweka hapa, ingawa kuna sheria inazuia ..Website Test behind the Great Firewall of China uhakika kama ni kwa sababu ya muda maana zinazo onekana ni zile zenye zaidi ya mwaka mmoja..nani mhimu sana kuonekana Beijing kwa sababu kuna agent yuko anaitangaza huko....na nimegundua Hong Kong inaoneka ila Shanghai, Beijing na Guangzhou ndiko haionekani..hivyo bado nategemea msaada wenu wana JF
 
Hong Kong hakuna site ambazo ziko blocked, ni mainland China tu wanablock, Hong Kong kuna uhuru wa habari.

Kuna baadhi ya I.P za Yahoo ziko blocked, ni zile ambazo zilikua zinatumika Geocities ambayo yahoo waliinunua, Geocities ilikua na site nyingi ambazo serikali ya China haitaki watu wake waone, ndo maana zikawa blocked. Uki google utaona kuna watu wengi wana hili tatizo. Unaweza ukajaribu kusubiri kama unafikiri ni muda.
 
ok, ngoja nifanye process za kuihamisha...
 
Back
Top Bottom