msaada wako ni wa mihimu hapa

msaada wako ni wa mihimu hapa

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
131
Wakubwa nilinunua samsung galaxy s2 used , sasa ikajilock nilimpelekea fundi anisaidie kuifungua akasema ataiflash.
Baada ya kumwachia hiyo simu , kaipoteza na badala yake kanilipa Samsung galaxy S2 plus lakini nikiiangalia features zake ni tofauti na ile simu yangu. Sijajua kama ni original au Clone,.Nimeambatanisha picha hizo
 

Attachments

  • Galaxy s2 003.jpg
    Galaxy s2 003.jpg
    17.3 KB · Views: 67
Inawezekana hiyo simu ni chinese. Kwa inavyoonekana. Ukitaka kujua kama ni original angalia kama ina recovery mode.
 
Smartphones za Samsung huwa zimewekewa LCD test code ( *#0*#) kwa ajili ya kutambua kama simu ni fake au lah!

Ingawaje kuna baadhi ya manufactures wa simu fake za Samsung huwa wanaweza kui bypass hiyo LCD test code...

Katika simu yako kwenye ile skrini uitumiayo kuingiza namba ya simu wakati wa kupiga

1. Ingiza LCD test code *#0*#

2. Baada ya kuingiza sequence hiyo, kama simu yako ni halisi utapata skrini ifuatayo (usiogope).

Phone-Secret-Code.png


3. Jaribu kutesti simu yako kwa kubofya kitufe kimoja baada ya kingine, mathalani ukibofya kitufe chenye maandishi "Red", skrini nzima itajazwa na rangi nyekundu.
Kila unapofanya testi moja na kujiridhisha, bonyeza "Return button" kurudi katika ile skrini ya LCD test.

Sasa kuna wahuni ambao wameweza ku-bypass hii test, Samsung wameongeza testi nyingine kadhaa na baada ya kuzifanya testi hizo ukajiridhisha, basi simu yako itakuwa ni orijino.
Testi hizo ni kama nilivyo ziorodhesha hapa chini:

*#1234# (View SW Version PDA, CSC, MODEM)
​
*#0*# (General Test Mode)​
*#12580369# (SW & HW Info)​
*#197328640# (Service Mode)​
*#0228# (ADC Reading)​
*#32489# (Ciphering Info)​
*#232337# (Bluetooth Address)​
*#232331# (Bluetooth Test Mode)
​

NB:
Huyo fundi wako ninahisi hiyo simu yako ya awali alikuzika, si rahisi kwa mtu ambaye ni fundi upoteze simu ya mteja kirahisi tu hivyo.
 
Pia fanya installation ya Samsung Kies(Hii ni software kwa ajili ya interaction kati ya simu ya Samsung na Computer), software hii inabidi uinstall katika Computer.

Baada ya Installation , unganisha simu yako na Computer kwa kupitia USB Cable....

Kama Samsung Kies imeshindwa kufunguka automatically, ifungue manually na subiri kidogo kuona kama itaweza kugundua simu yako.

Ikigundua jaribu kuangalia kama "Firmware" na "Device Name" vinalingana na ile ya simu yako...otherwise it might be a fake phone.

Samsung-Kies-Galaxy-Tab-Sync.png
 
Wakubwa nilinunua samsung galaxy s2 used , sasa ikajilock nilimpelekea fundi anisaidie kuifungua akasema ataiflash.
Baada ya kumwachia hiyo simu , kaipoteza na badala yake kanilipa Samsung galaxy S2 plus lakini nikiiangalia features zake ni tofauti na ile simu yangu. Sijajua kama ni original au Clone,.Nimeambatanisha picha hizo

kabla ya kwenda kwa fund kuflash kwann hukuja humu!
 
Back
Top Bottom