Msaada wako hapa,pdf converter

Msaada wako hapa,pdf converter

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
431
Reaction score
61
Wakuu,habari za huko Brazil mlipo kwa sasa.
Pamoja na hilo,naombeni msaada wenu katika hili,nina file nataka kubadilisha toka word kwenda PDF lakini sina converter na nimejaribu kudownload kila link naona inaniletea mizinguo tu.kwa mwenye nayo anisaidie au mwenye kujua link ambayo nitaweza kudownload free version kirahis anisaidie pia
heshima kwenu wote
 
plz weka ms word 2010 inaconvert files to pdf directly....ni pale unapotaka kusave unasave kwa format ya pdf
thn it over......
 
Wakuu,habari za huko Brazil mlipo kwa sasa.
Pamoja na hilo,naombeni msaada wenu katika hili,nina file nataka kubadilisha toka word kwenda PDF lakini sina converter na nimejaribu kudownload kila link naona inaniletea mizinguo tu.kwa mwenye nayo anisaidie au mwenye kujua link ambayo nitaweza kudownload free version kirahis anisaidie pia
heshima kwenu wote
Najaribu ku-upload inakataa, kama vipi niPM email yako nikutumie hiyo software, ni ndogo tu 1.18MB
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom