msaada wakaribu

msaada wakaribu

mkuu fanya kuweka data zake,, kama imei?? Ni huawei au zte??? Namba zake?? Iko katika mtandao gani sasa hv..???

hopefully mtu hataona uvivu kukusaidia
 
mkuu fanya kuweka data zake,, kama imei?? Ni huawei au zte??? Namba zake?? Iko katika mtandao gani sasa hv..???

hopefully mtu hataona uvivu kukusaidia

ok ni Huawei,model E153,ce 0682. na nimodem ya tigo . ninaimani haponirapata msaada wa karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom