Hii issue nishaisikia.kama mdau alivosema hapo juu.....tatizo ni PISTON 3....na kinachofata sasa ni steering rack
mko wapi mkuu daa nime miss sana kutengeneza tupasso .kama upo dar mkuu tutafutane aisee.usianze kukorokochoa kwenye gearbox mkuu huko sio kwanza anza kushugulika na hiyo miss ikiisha na gari itakaa sawa tuu.maana gari ikiwa na miss huwa inakosa nguvuSasa hivi hata mlima kidogo tu kanashindwa kupanda,nitafanya mlivyo nishauri
Nimebadili engine mkuu ila giabox inazingua nataka niweke mpya nayo,nipo dar unapatikana wapi?mko wapi mkuu daa nime miss sana kutengeneza tupasso .kama upo dar mkuu tutafutane aisee.usianze kukorokochoa kwenye gearbox mkuu huko sio kwanza anza kushugulika na hiyo miss ikiisha na gari itakaa sawa tuu.maana gari ikiwa na miss huwa inakosa nguvu
Kati ya gari ambazo huwa nadscorage watu wakitaka kununuaWana jamvi ninakigari changu toyota passo piston 3 kimeanza tabia ambayo inanitisha kabisa,kwanza engine inakuwa kama ina.misa hivi nikiganyaga mafuta na pia kwenye mlima kinakosa nguvu na kina tetemeka sana tatizo ninini wakuu??msaada plz.
ww ni fundi au mnunuzi wa parts?na vipi gearbox ina shida gani mkuu.tatiso siku hizi diagnosis machiney na upatikanaji wa spare za used kirahisi vimetufanya mafundi kuwa wavivu sana.aisee
mm ni fundi umeme mkuu najua hata hiyo engine kwa tatizo alilo eleza atakuwa kaionea kuishusha na juu ya gearbox kama utakuwa umesoma post yangu ya mwanzo nishamwambia kuwa asiiguse hilo tatizo sio la gearbox ashugulike kwanza na engine. ndio maana nimemuuliza gearbox inatatizo gani?ww ni fundi au mnunuzi wa parts?
by the way nashauri asiguse Gear box (transmission) haiusian kabisa na ttzo alilo eleza apo juu