Msaada wajamenii

kaka miaka miwili sio haba kujua tabia ya mtu wako uliyenaye karibu mudamwingi!Amini usiamini kunakitu huyo mpenzi wako anafanya thats why hauna imani naye na ndio maana umeweza kunotisi hayo uliyoeleza! Yaliwahi kunikuta kama hayo na nikapiga chini baadaye nikaja kupata picha nzima kuwa alikuwa na mahusiano na lecturer wetu (hapo chuoni) lakini pia alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na moja wapo ya mabest frend zangu! So chukua hatua mapema sana watu niwasanii kupita kiasi! Kuna principle inasema kwamba ni kheri kuchukua maamuzi mapema hata kama si muda muaafaka hata kama hauna ushaidi wa kutosha, kuliko kuchukua hatua muafaka na kwa muda sahii na unaushahidi wa kutosha but too lleiti coz tayari mambo yatakuwa yameshaharibika, na hata kuumia utakuwa umeumia! Nimejifunza kutek maamuzi mapema sana punde nionapo dalili mbaya ambazo ninauhakika awali hazikuwepo coz kila kitu huwa na chanzo chake/sababu. Pole kaka think out of the box maisha haya siyo ya kufanyiana majaribio.
THINK BIG EVERY TIME!!
 
Sielewi kwa nini wanaume siku hizi mnakuwa dhaifu, ni haki yako kufahamu kwa nini mpenzi wako amebadilika,katika kutafuta kufahamu ndo ukapiga simu uliyohisi inaweza kuwa ya mpenzi wake mwingine....mwambie straight forward, na una haki ya kujua kutoka kwake au wale walio karibu yake kuhusu mwenendo wake wa sasa....kama ni wa kukuacha ata ukimlilia atakuacha tu,jiamini na kuwa wazi,zungumza ne!
 
Ongea na mtu wako,mbona km unamwogopa flan!huyo mdada mjanja sn na ameshajua udhaifu wako,acha woga mwambie ukweli na mweke wazi kuwa kabadilika,weka mcmamo wa kutombenda tabia zake zinazokuboa bila woga km anakupenda ataelewa na kubadilika ukiona haelewi,mulika mwizi stuka na chukua hatua!
 
kaka miaka miwili sio haba kujua tabia ya mtu wako uliyenaye karibu mudamwingi!Amini usiamini kunakitu huyo mpenzi wako anafanya thats why hauna imani naye na ndio maana umeweza kunotisi hayo uliyoeleza! Yaliwahi kunikuta kama hayo na nikapiga chini baadaye nikaja kupata picha nzima kuwa alikuwa na mahusiano na lecturer wetu (hapo chuoni) lakini pia alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na moja wapo ya mabest frend zangu! So chukua hatua mapema sana watu niwasanii kupita kiasi! Kuna principle inasema kwamba ni kheri kuchukua maamuzi mapema hata kama si muda muaafaka hata kama hauna ushaidi wa kutosha, kuliko kuchukua hatua muafaka na kwa muda sahii na unaushahidi wa kutosha but too lleiti coz tayari mambo yatakuwa yameshaharibika, na hata kuumia utakuwa umeumia! Nimejifunza kutek maamuzi mapema sana punde nionapo dalili mbaya ambazo ninauhakika awali hazikuwepo coz kila kitu huwa na chanzo chake/sababu. Pole kaka think out of the box maisha haya siyo ya kufanyiana majaribio.
THINK BIG EVERY TIME!!
kaka Asante kwa ushaur
 
tatizo nilijalibu kumueka chini na kumwambia mbona siku hiz amebadilika?yeye anachonijibu hajabadilika ni mim tu jinsi ninavyoona lkn matendo yake tofaut na anayoyasema,,sasa nakosa cha kufanya
 
Sielewi kwa nini wanaume siku hizi mnakuwa dhaifu, ni haki yako kufahamu kwa nini mpenzi wako amebadilika,katika kutafuta kufahamu ndo ukapiga simu uliyohisi inaweza kuwa ya mpenzi wake mwingine....mwambie straight forward, na una haki ya kujua kutoka kwake au wale walio karibu yake kuhusu mwenendo wake wa sasa....kama ni wa kukuacha ata ukimlilia atakuacha tu,jiamini na kuwa wazi,zungumza ne!
tatizo nilijalibu kumueka chini na kumwambia mbona siku hiz amebadilika?yeye anachonijibu hajabadilika ni mim tu jinsi ninavyoona lkn matendo yake tofaut na anayoyasema,,sasa nakosa cha kufanya
 
mimi sijikiti hapo kwenye matumizi ya simu ila km kweli umeona mabadiliko ujue hiyo ni sawa na ukiona manyoya ujue kashaliwa....hakuna mabadiliko bila ya kuwa kampata anayemkuna zaidi yako ,sepa kabla hujalizwa.
 
Demu anakununia kwasababu umeshajua mwenendo wake na kwasababu keshaju wewe ni mdhaifu ndio maana anatingisha kibereti ili usahau yote na uanze kumbembeleza,ushauri wangu kwako endelea na uchunguzi wako na mwisho utajua mbivu na mbichi hao tumeumbiwa sisi wasikuumize kichwa
 
Si dhani km atagundua km unamfanyia U-FBI kama ulitumia namba tofauti, na km atakuwa amehisi hivyo kataa kwa namna yoyote. Kwa sababu atapata kisingizio cha kusema umeanza kutomwamini jambo ambalo litakuwa humu zaidi.

Achana naye huyo kaka hakufai!! Utakuja kugundua step wakati mziki umekwisha! Think big
 
Back
Top Bottom