Msaada wajamenii

gplus

Member
Jan 3, 2012
14
1
Mim ni mvulana wa 28 yrs,niko na girl friend wangu miaka 2 Sasa,mda wote huu tumekuwa tukipendana bila ya matatizo,lakin hivi miezi miwili iliyopita yaan amebadilka mno,sometime mpaka nashindwa kuamin ni yule nayemjua au mwengine,mpaka nimekuwa simwamini tena kutokana ta vitabia vya hapa na pale,mfano zaman alikuwa sana muwazi kwangu lakin sasaiv hafanyi tena hivyo(especial kwenye sim yake alikuwa free nayo lakin sasaiv hayuko hivyo mfano msg ikiingia hushtuka sana tukiwa pamoja)imagine ameanza kwenda na sim yake bafuni kuoga nayo na vitu vingine vingi tu,sasa kuna siku msg ikaingia nikamuomba niingalie akanipa kuichek ile msg ilikuwa ya utata kidogo sema sikutaka kumuonyesha kama sijaipenda ile msg,lakin baadaye nikaichukua ile namba kwa kuifanyia kaz baadaye,baada ya siku mbili nilipiga ile namba kupokea alikuwa mwanamke ambaye rafik yake lakin sikuongea nilipiga tu kusikiliza saut.tunakaa pamoja hiyo siku kesho yake nilichelewa kurud kutoka kazini nikamkuka amenuninunia siku inayofuata akatumia akaondoka kwenda kwake na kuniambia amenikasirikia ni kimuuliza kwanin hataki kuniambia sababu gan yaan kakasika sasa niko nia panda sijui achokairika mpaka sasaiv ni kuchelewa kwangu kutoka kazin au je ikiwa kama kagundua kama nilimzunguka kwa kuchukuwa ile namba na kuipiga itakuwaje na nitajitetea vip?na ikiwa bado nipo kwenye uchunguzi kwanin amebadilika siku izi?na bado sijapata ukweli?maana nilipiga na namba ambayo siitumii sana,na sikuongea niliskilza sauti tu.sasa naona kama nilipata bahatimbaya kwenye uchunguzi wangu.jaman naombeni msaada wenu nitajiteteaje ili asifikirie kama nilimzunguka kuchukuwa ile namba kwa ajili ya uchunguzi wangu?
 
je yeye huchukua simu yako?
husoma message zako?
je wewe ni muwazi kwake?

na je umezungumza nae kuhusu mabadiliko ya tabia aliyoyaonyesha?
sidhani kama kuchukua namba ni kosa kuuuubwa mpaka uombe ushauri, akikuuliza si umwambie ukweli kuwa kabadilika na ile msg alivyotumiwa hukuipenda ukaamua kuchunguza?
 
nimejaribu kulinganisha umri wako na uzi wenyewe nimekosa jibu....well kukushauri....usipende sana kuchunguza simu za watu....hasa mpenzi....
 
mtu mzima hachungwi.... inaonekana miaka 2 yote unaimba wimbo 1........inaonekana kuna mdau kaja na album imesheheni nyimbo za ndoa........ushauri wangu wa kisayansi tafuta UPT labda mnuno ni wa bao!!!!!!!!
 
Wewe tuliza wenge hapo kaa kimya, jifanye hata hujui kama amekasirika usije ukajikamatisha buree halafu ukashindwa kuendelea na u FBI by the way huo ni muda muafaka na wewe kuanza kufikiria kutafuta maeneo mengine ya uwekezaji maana nahisi mahusiano yenu hayatafika mbali.
 
Kuna harakati zozote za ndoa mlizoanza? Yaani kumtambulisha kwa wazazi, n.k. Labda anaona unamzingua, miaka miwili ya ugirlfriend naona ni mingi. Labda muwe bado mnasoma.
 
nimejaribu kulinganisha umri wako na uzi wenyewe nimekosa jibu....well kukushauri....usipende sana kuchunguza simu za watu....hasa mpenzi....
si kweli unampotosha mwenzio,mimi nina mfano hai,mambo haya ya kujifanya yuko mbali na simu ya girlfriend wake alijikuta anaalikwa kwenye sendoff,mwingine mke,jamaa akirudi hana mda na simu ya mkewe matokeo yake mke anakidumu chake,so kama alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa simu ya mkewe wasingeachana angezibiti pale pale mwanzoni hivyo kuchunguza muhimu sana kama unampenda
 
dogo punguza wivu...ukiwacha wivu mambo yako yatakuwa super.
 
Mulize kwanini amebadilika,au wewe mwenyewe yeye angekufanyia hayo ungefurahia? kaka usimchunguze kuku sana atakushinda kula.
 
je yeye huchukua simu yako?
husoma message zako?
je wewe ni muwazi kwake?

na je umezungumza nae kuhusu mabadiliko ya tabia aliyoyaonyesha?
sidhani kama kuchukua namba ni kosa kuuuubwa mpaka uombe ushauri, akikuuliza si umwambie ukweli kuwa kabadilika na ile msg alivyotumiwa hukuipenda ukaamua kuchunguza?
yeah yeye huchukua simu yangu,na nilishawahi kumwambia siku hizi mbona amebadilika akasema si kweli hivyo ni mim ninavyomuona lakina yeye anasema yuko sawa lakin kuna kila ushaid kuwa amebadilika mzee!!!!
 
mtu mzima hachungwi.... inaonekana miaka 2 yote unaimba wimbo 1........inaonekana kuna mdau kaja na album imesheheni nyimbo za ndoa........ushauri wangu wa kisayansi tafuta UPT labda mnuno ni wa bao!!!!!!!!
una maanisha nin unaposema mnuno ni wa bao mzee?
 
Wewe tuliza wenge hapo kaa kimya, jifanye hata hujui kama amekasirika usije ukajikamatisha buree halafu ukashindwa kuendelea na u FBI by the way huo ni muda muafaka na wewe kuanza kufikiria kutafuta maeneo mengine ya uwekezaji maana nahisi mahusiano yenu hayatafika mbali.
tatizo mzee kama je amegundua nilikuwa namfanyia UFBI si ndio atakuwa makin zaidi?
 
Kuna harakati zozote za ndoa mlizoanza? Yaani kumtambulisha kwa wazazi, n.k. Labda anaona unamzingua, miaka miwili ya ugirlfriend naona ni mingi. Labda muwe bado mnasoma.
hamna bado hatujaanza hizo pilika za ndoa sema tushatambulishana kwa wazazi
 
Mulize kwanini amebadilika,au wewe mwenyewe yeye angekufanyia hayo ungefurahia? kaka usimchunguze kuku sana atakushinda kula.
nilimuuliza lakin akaniambia eti mim ndivyo navyoona lakin yeye anajiona yuko sawa tu,wakati kuna ushaid wa kila namna kama amebadilika
 
tatizo mzee kama je amegundua nilikuwa namfanyia UFBI si ndio atakuwa makin zaidi?
Si dhani km atagundua km unamfanyia U-FBI kama ulitumia namba tofauti, na km atakuwa amehisi hivyo kataa kwa namna yoyote. Kwa sababu atapata kisingizio cha kusema umeanza kutomwamini jambo ambalo litakuwa humu zaidi.
 
Back
Top Bottom