kubwalamaadui
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 328
- 51
aah! Huyu dada kubwalamaadaui, refer id yake, nashangaa kubwa la maadui linashindwa kupambana.
Huo sio ushauri mkuu. Ndugu yetu amepata tatizo na anhitaji ushauri. Kama hukua na ushauri bora ungekaa kimya mambo yakusema siko kwenye ndoa,sijui unalo, cjui nini hayo sio maneno na leo kwake na kesho pia laweza kuwa kwako xo watch out mkuu.
Kubwa la maadui ndembendembe!!!
hivi jaman uko katika ndoa yako na mme wako unayemwamn na kumpenda sana.alafu unahs kama anakuchit ili ujipatie uhakika ukaamua kuchungulia simu na kweli ukakuta sms za mapenz na mwanamke mwingne ukajaribu kumkanya ikashindikana kibaya zaidi sasa hivi huyo mwanamke kapata namba yako ya simu anakutukanaje sasa na kukuchamba.
mshaurin jaman