msaada wajameni

msaada wajameni

Kwani ushawashilikisha watu wenye umri mkubwa zaidi yenu kuhusu iyo hali, kama wazazi wenu.
 
asanteni wapedwa wangu kwa ushauri.hivi hata wadada wa humu kama yupo mwenye tabia hiz aache yaan unatembea na mme wa mtu alafu unamtukana na kumtambishia eti kuwa ready anakutafutia sababu ya kukuacha alivyokuoa alikuwa hana jinsi.
kibaya zaidi yaan huyo mmeo yuko bize kuchat mda wote hata umwamieje kibaya zaid ndoa haina hata mwaka.
sijui nijisogeze tu pemben nisije kulogwa.
 
almandy,ndio nataka nifanye hivyo ila najifikia kwanza mr. anasema sijawah kutembea naye ila kuna biznes tunafanya.nikimuuliza mbona anatukana anasema wewe ndio lada unamprovoke,haya mnafanya biashara gan kimya.mmmh mambo ya ndoa balaa
 
Umejaribu kuongea na mumeo pengine una kasoro ambazo hajaweza kukubainishia waziwazi maana naona umeainisha jambo moja tu kuwa umemkanya.
Btw napenda kujua kama hutajali, kwa nini umeshindwa kutumia ile ID yako tuliyoizoea best??

shemeg acha umbea!!! Kwa mfano id yake ya zamani ni measkron!? Utaweka wapi jiuso lako?
 
Last edited by a moderator:
almandy,ndio nataka nifanye hivyo ila najifikia kwanza mr. anasema sijawah kutembea naye ila kuna biznes tunafanya.nikimuuliza mbona anatukana anasema wewe ndio lada unamprovoke,haya mnafanya biashara gan kimya.mmmh mambo ya ndoa balaa

Pole mwaya kwa yaliyokukuta..Mwiz hawez kukubal hata cku moja kaiba..Mpaka umfuume Live..Na kam wapo kikaz je Sms za mapenz zinahusu nin kati yao?..Wew mpotezee huyo ngedere anayeringa na mumeo coz anaweza hata yey akakufanyia wew baya ili aingizwe yey ndan kam mke coz inaonekana ndo hamu yake kubwa....

Na hawa wanaume hat hawajielewi..eti wanaliwaziwa..Shameless on you...Jitu linajua una mkeo so lazma atapretend tu wema ili apate anachohitaji kutoka kwako.


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Atakipata anachokitafuta huko nje! lakn uwe makini sana. akitaka...msimamishie shilingi asije kupatia...
 
Lahaulaaa!!! shemeg mie nina hako hako ka id kamoja...
Hebu kwanza mwaga mapwenti kumsaidia huyu bi dada...

aah! Huyu dada kubwalamaadaui, refer id yake, nashangaa kubwa la maadui linashindwa kupambana.
 
hivi jaman uko katika ndoa yako na mme wako unayemwamn na kumpenda sana.alafu unahs kama anakuchit ili ujipatie uhakika ukaamua kuchungulia simu na kweli ukakuta sms za mapenz na mwanamke mwingne ukajaribu kumkanya ikashindikana kibaya zaidi sasa hivi huyo mwanamke kapata namba yako ya simu anakutukanaje sasa na kukuchamba.
mshaurin jaman
Yaani wewe bi dada ukija kuzinduka kumeshakuchaaa!!!(it seems like u dont have any voice infront of ur husband); kwa mtazamo wangu kama kweli mumeo anakupenda na kukuthamini asigeenda kutafuta mwanamke mwengine na isitoshe umemkanya na bado hashughuliki.Unasubiri nini ehhh?Unataka uletewe maradhi ulee haya ngangana hapo hapo utajionea mambo!! na isitoshe hakuheshimu huyo mumeo seriously anaacha hawara yake akutukane!!wallahi kimbia dada yangu while u have the chance before its too late maana utakuja kulia vibaya tena sana!
 
mimi49@ni kweli unayosema ndio ninachokifanya now.
amekimbia nyumban na yule mwanamke anapiga simu wakiwa wanafanya mambo yao ili nisikie
 
huyo mwanamke mujinga sana atatembea na mume ambae hana hela.
Nipe namba yake nimupe kigogo mmoja ili asikusumbue tena tena mwambie akuache kabisa tabia mbaya
mimi49@ni kweli unayosema ndio ninachokifanya now.
amekimbia nyumban na yule mwanamke anapiga simu wakiwa wanafanya mambo yao ili nisikie
 
mimi49@ni kweli unayosema ndio ninachokifanya now.
amekimbia nyumban na yule mwanamke anapiga simu wakiwa wanafanya mambo yao ili nisikie
Thats horrible im so sorry dear i really feel for you!!You made a good decision and u should stick by it!The man you call your HUSBAND doesnt deserve you,u deserve better!Sometimes its good just to let it go
 
Anakutumia MSG za kukutusi? Kama una vijisenti huo ni ushahidi mzuri wa kumtia ndani kwa kukutukana........

Na Mumeo mpige biti mapema mwambie iPo Siku Kifanyio chake kitageuka mboga Alie kwa ugali....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom