kubwalamaadui
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 328
- 51
hivi jaman uko katika ndoa yako na mme wako unayemwamn na kumpenda sana.alafu unahs kama anakuchit ili ujipatie uhakika ukaamua kuchungulia simu na kweli ukakuta sms za mapenz na mwanamke mwingne ukajaribu kumkanya ikashindikana kibaya zaidi sasa hivi huyo mwanamke kapata namba yako ya simu anakutukanaje sasa na kukuchamba.
mshaurin jaman
mshaurin jaman