Msaada wahitajika hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wahitajika hapa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Salanga, Aug 3, 2011.

 1. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi Huyu anayeitwa Mallya ni mchaga wa maeneo gani. Hii yote ni kuepukana na wale wa Machame ...nisaidieni
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,666
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mallya wanatokea maeneo ya Kibosho paleee penye mbege tamu sana ..kwa Rafaeli kuelekea mango.. Wapo pia maeneo ya Marangu, Kirua vunjo nk. Huko Palestine Land sijawahi kusikia ukoo huu, labda kwa kuhamia.... kwani wamachame wakufanya nini?
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,791
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  za kuambiwa changanyaga na zako na wewe,kama umeamini hizi stori za wajinga wajinga wa humu shaurilo!
   
Loading...