Msaada wahitajika: Distinguish Entrepreneurship from an Entrepreneur

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Wapendwa natumaini mko salama,

Kuna mdogo wangu kaulizwa swali kashindwa kulielewa, sasa kaniletea mimi na kwangu limekuwa gumu, nikaona nililete hapa kwa wadau mtanisaidia;

''Distinguish Entrepreneurship from an Entrepreneur'' - Ndio swali lenyewe..
 
If not mistaken;
Ent'ship(ujasiliamali) is about the skills, qualities, capabilities or being able to carry on ent'rial activities.
Ent'neur(mjasiliamali) is a person doing business by committing ent'ship skills.
Note:
Not all business people are ent'neurs but all ent'neurs are business people.

Kiswahili ingekua hiv japo sio tafsir rasmi;
Ujasiliamali ni hali ya kuwa na uwezo au sifa za kuweza kufanya biashara kijasiliamali. Na sifa zenyewe ni ubunifu, uvumilivu, utayari wa kukabiliana na hasara, utafutaji habari, kujifunza mara kwa mara, mwepes kujifunza na kuchangamkia fursa, kua na biashara inayoendelea/kukua etc.
Mjasiliamali ni mtu anaeendesha biashara yake kwa uwezo wake kijasiliamali.

Tanzania kila anaefanya biashara tunaitana wajasiliamali, je ni kweli?

Na nirekebishwe nilipo potoka
 
Entrepreneurship is the process of starting a business or other organization.

The entrepreneur develops a business model, acquires the human and other required resources, and is fully responsible for its success or failure. [ citation needed]

Entrepreneurship operates within an
entrepreneurship ecosystem .
 
jukwaa limevamiwa hili, mtoto akiulizwa swali shule analeta jukwaani? mmmhhhhh!!!!!! huo muda wa kuja kuuliza hapa si ndo ungetumua ku-google?
 
If not mistaken;
Ent'ship(ujasiliamali) is about the skills, qualities, capabilities or being able to carry on ent'rial activities.
Ent'neur(mjasiliamali) is a person doing business by committing ent'ship skills.
Note:
Not all business people are ent'neurs but all ent'neurs are business people.

Kiswahili ingekua hiv japo sio tafsir rasmi;
Ujasiliamali ni hali ya kuwa na uwezo au sifa za kuweza kufanya biashara kijasiliamali. Na sifa zenyewe ni ubunifu, uvumilivu, utayari wa kukabiliana na hasara, utafutaji habari, kujifunza mara kwa mara, mwepes kujifunza na kuchangamkia fursa, kua na biashara inayoendelea/kukua etc.
Mjasiliamali ni mtu anaeendesha biashara yake kwa uwezo wake kijasiliamali.

Tanzania kila anaefanya biashara tunaitana wajasiliamali, je ni kweli?

Na nirekebishwe nilipo potoka

Hapo kwenye bold; Sio kweli,
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom