Msaada wadau

NICK2275

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,931
918
Wakuu ni samsung s4 ila tangu juzi imeniweka offline-siwez piga simu-kozi inakata,na nikipigiwa naonekana sipatikaniki hewan-though kwenye simu bar za network zipo full-
kama kuna mwenye clue what went wrong naomba msaada wake
 
Scroll down notification pannel kwa vidole viwili kisha angalia kama blocking mode iko active.

Sent from my GT-I9505 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom