Battery kwanza ilikuwa haikai, pili ile kukosa pa kuwekea line so mpaka nipate wireless then touch yake haikuwa nzuri, ilikuwa mpaka utach mara mbili mbili, halafu ikaanza mchezo wa kujitouch yenyewe, XTOUCH sina ushuhuda nazo, ila sikushauri uende kwa hivi vfaa vya kichina, ni heri upate samsung galaxy tab hata zile ndogo kwa laki nne zitakusukuma