niuninstall theme ya waterfall kwenye komputer yangu ya dell inayotumia window xp royale s3 baada ya ku uninstall display ikawa whitish in color na mpaka sasa nikiiwasha tu inakuwa hivyo hivyo tatizo linakuwa ni nn????????
wakati ina boot press f8 and chagua option ya last good ....au itakupa options ...zitaje hapa.
Otherwise boot from winXp SP3 cd kama unafanya reinstall then fanya repair.
wakati ina boot press f8 and chagua option ya last good ....au itakupa options ...zitaje hapa.
Otherwise boot from winXp SP3 cd kama unafanya reinstall then fanya repair.
izime kabisa hata kama ni kwa force then fanya hivi:
1. Tafuta key imeandikwa F8 ipo kwa juu kabisa katikati
2. Jiandau kuibonyeza (weka kidole chako hapo kwenye F8)
3. washa tena computer yako. ile inaanza tu kuwaka kwa kuonesha hiyo logo ya Dell na kabla haijaanza kuload windows uwe unabonyeza F8. hapo utaona menu imetokea kama hautaiona basi rudia tena ikibidi uwe unabonyeza bonyeza F8
hiyo menu ina option nyingi. chagua Safe Mode inaweza kukusaidia then ukifika huko jaribu kufanya System Restore
NOTE: Mara nyingi inatokea hivyo kama umeinstall thirdparty theme bila kufanya Patching ya Original windows file. so tafuta Theme Patcher ili u-Patch kabla ya kuinstall themes
nimekuelewa vizuri sana bro ila tatizo ni kwamba screen inafubaa hata kabla ya logo ya dell haijatoweka xo inakuwa ngumu kufanya restore yan kama screen imekufa hivi