Wasalaam wakuu....Natumai mko salama,Nilikua naomba mnisaidie Eti kwanini wanahabari wanaipinga sheria ya Magazeti ya Mwaka 1976 na hii mpya ya vyombo vya habari ya mwaka 2016??Nimeitafuta hasa hii sheria ya magazeti ya mwaka 1976 sijaipata..Please wakuu mwenye uelewa anisaidie..Wasalaam