Sambali Boy
Member
- Jul 15, 2014
- 31
- 5
Mkuu, umeiba/kudown load beats za watu na kujifanya mwana muziki kama wenzako wa fleva au.
Nitafute ila uwe na laki tano mkononi
NB:hiyo ni ya kwangu tu hadi nakufikisha kwa Boss
Mkuu, umeiba/kudown load beats za watu na kujifanya mwana muziki kama wenzako wa fleva au.
mimi ciyo mwizi nawala cjataka kuiba. Lengo ni kutaka kutangaza ngoma ambazo zitakuwa nasifa ya ubunifu wangu kama sambali.
sijashndwa kukutafuta, unamaanisha ili kunipa taratbu zote mpaka nitoe lak 5
sasa wewe kaa hivyo hivyo hilo song lako utapiga gheto kwako tu,MKONO MTUPU HAULAMBWI muulize mwenzio baba wema sepetu atakuambia
uelevu ungeenda clouds media na sio JF kama sio kujitafutia kutapeliwa ni nini?jingasiyo kila mpumbavu huwaza kueneza upumbavu, nakushangaa jombaa kutokuwa mwerevu, jua hii siyo kes you just behave.
Sasa unakataa nini? Ume-download beats from the computer na kujifanya ama kusingizia kuwa wewe ni mwanamuziki kumbe ni wale wale tu vijana wa fleva.
uelevu ungeenda clouds media na sio JF kama sio kujitafutia kutapeliwa ni nini?jinga
Dogo achana na mziki tafuta kazi nyingine ufanye kibongobongo hiyo hela unayoinvest uko inaweza kukuweka pazuri zaidi ama mayb kama unafanya just for fun, ni ushauri tu.
uelevu ungeenda clouds media na sio JF kama sio kujitafutia kutapeliwa ni nini?jinga
Sasa unakataa nini? Ume-download beats from the computer na kujifanya ama kusingizia kuwa wewe ni mwanamuziki kumbe ni wale wale tu vijana wa fleva.
sasa wewe kaa hivyo hivyo hilo song lako utapiga gheto kwako tu,MKONO MTUPU HAULAMBWI muulize mwenzio baba wema sepetu atakuambia
Nimekuelewa mkuu
dogo muziki bongo achana nao kama mdau alivyokwambia hapo juu bora hyo hela uwekeze kwenye, labda kama unatafuta umaarufu kwenye majukwaa na kusikika redion! vinginevyo ujianda kuwa kulipia kila ngoma yako inapopgwa na kuwalipa show madj na mapromota, kama hutanielewa waulize kina sajna, pnc, hussein machoz, csir madini walivyomnemesha kid bway rfa!