Msaada wadau wa JF

Msaada wadau wa JF

Maccavelli

Senior Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
173
Reaction score
174
Habari ya kutwa nzima wadau .?
Simu yangu aina ya Tecno L8 imeanza tatizo la kunisumbua charge siku ya pili leo, ukiweka kwenye charge inaweza pandisha asilimia labda hadi 15 ikaonyesha inapeleka chaji ila haito ongezeka hata niichaji siku nzima, .

Nimebadili system charge nikijua imekufa ila wapi tatizo liko pale pale naombeni msaada wenu tafadhali.
 
Tafuta charger OG yenye ampere kuanzia 1.2
Toa battery yako irushe juu urefu wa foot 6 mara3 lidondoke chini kwa ubapa kisha liweke tena kwenye simu yako ikigoma jaribu hii👇

Toa battery yako weka kwenye simu nyingine uone kama litajaa
Weka battery nyingine kwenye simu yako uone kama simu itajaza hilo battery.
 
Back
Top Bottom