Msaada wadau: Simu yangu haifungui video wala picha Instagram

nyakato

Senior Member
Jul 26, 2011
152
113
Msaada wadau.. mimi nina simu ya samsung note 4.. sasa recently haifungui picha wala video za instagram wakat netwok iko poa (natumia airtel) na app ipo updated!! App myinginez ziko safi!!

Hili Tatizo litakua linasababishwa na nini? Na ombeni msaada.

Natanguliza shukurani
 
Back
Top Bottom