chrisman49
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 352
- 77
Habari wakuu,
Naomba kujua jinsi ya kucrack windows 10 pro.
Nawasilisha kwenu wataalamu.
Naomba kujua jinsi ya kucrack windows 10 pro.
Nawasilisha kwenu wataalamu.
maana nashindwa kupersonalize hata baadhi ya vitu.Imekuwaje mpaka utake kuclack?
Maana inanihitaji niiactivate.Imekuwaje mpaka utake kuclack?
Tafuta software inaitwa KMSauto inadonwload then instal but kabla ya kuinstall disable window defender au microsoft security.Maana inanihitaji niiactivate.