napenda
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 485
- 90
Mi ni mtumishi idara ya kilimo niliajiriwa kwa ngazi ya cheti,mwaka huu namaliza diploma ya kilimo, na ruhusa ya kwenda kusoma nitaipata baada ya miaka 3.
. shida yangu> nimewaza kusoma BBA Chuo cha OUT, Na baadae nikihitimu nikasome master ya agribusiness baada ya 3yrs.na nimewaza nikimaliza BBA chet sitakikabidhi kazini hadi nimalize master,je chet cha master watakitambua kazini ?(kwa sababu labda nimesoma bachelor ya fani nyingine
pia naombeni ushauri zaidi.