kipoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2012
- 372
- 315
Habari,
Nahitaji kupanga matokeo ya wanafunzi kwa kuzipanga sheets yaani sheet ya kwanza iwe na alama , sheet ya pili iwe na matokeo, sheet ya tatu iwe na grade!!
Yaani sheet zifanye kazi kwa pamoja ! Ukiweka data sheet ya kwanza ,sheets zinazofuata zichakate data!! Msaada wa formula gani nitumie kuziunganisha hizi sheets.